iqna

IQNA

Hija 1444
Hija 1444
MAKKA (IQNA) - Mahujaji wa China wamepongezwa sana kwa hatua yao ya kusafisha barabara na vijia katika mji mtakatifu wa Makka (Mecca) kabla ya kurejea katika nchi yao baada ya kukamilisha ibada ya Hija mwaka huu.
Habari ID: 3477288    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/15

Hija 1444
MAKKA (IQNA) – Cheti cha kifahari cha Hija kinaweza kutolewa kwa njia ya intaneti kwa wale wote walioshiriki katika Ibada ya Hija mwaka huu wa 1444 Hijria Qamaria.
Habari ID: 3477259    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/09

Hija 1444
MEDINA (IQNA) – Baadhi ya Mahujaji ambao wamesafiri kwenda Madina baada ya ibada ya Hija kutembelea jengo la uchapishaji la Qur’ani Takatifu katika mji huo mtakatifu.
Habari ID: 3477234    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/04

Mawaidha
TEHRAN (IQNA) – Safari ya Hija ni tukio la mabadiliko linaloleta uwazi, unyenyekevu, uchamungu, na furaha katika ibada. Sifa hizi za thamani lazima ziendelezwe na kuongezwa zaidi baada ya safari ya kimaanawi ya Hija.
Habari ID: 3477227    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/02

Hija 1444
Maelfu ya waumini Waislamu wanaendeea kuondoka katika mji mtakatigu wa Makka baada ya kumaliza ibada ya killa mwaka ya Hija ambayo mwaka huu imesadifiana na msimu wa joto kali.
Habari ID: 3477218    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/30

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika ujumbe wa Hija 1444
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa ujumbe muhimu kwa mnasaba wa msimu wa mwaka huu wa Hija akisema, umoja na umaanawi hivi sasa unakabiliwa na uadui na ukwamishaji mkubwa zaidi wa ubeberu, uistikbari na uzayuni.
Habari ID: 3477207    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/27

Ibada ya Hija 1444
Pazia la al-Kaaba maarufu kama Kiswa au Kiswah limeinuliwa kwa mita tatu ili kuandaa eneo hilo kwa ajili ya Hija ya mwaka huu wa 1444 Hijria Qamaria na kuwakaribisha mamilioni ya Mahujaji.
Habari ID: 3477130    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/10

Ibada ya Hija 1444
Kundi la maqari (wasomaji Qur'ani Tukufu) wa Iran huko Makka nchini Saudi Arabia katika vikao vinavyohudhuriwa na Mashia na Masunni ili kuendeleza zaidi umoja kati ya Waislamu.
Habari ID: 3477129    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/10

Hija mwaka 1444
Maeneo matakatifu nchini Saudi Arabia yanatayarishwa kupokea Waislamu wanaotekeleza ibada ya Hija kutoka kila kona ya dunia.
Habari ID: 3477125    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/09

Ibada ya Hija 1444
Makka,, mji mtakatifu zaidi katika Uislamu, unaendelea kukaribisha Waislamu wanaofika katika mji huo kwa ajili ya ibada ya kila mwaka ya Hija.
Habari ID: 3477111    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/06

Ibada ya Hija 1444
TEHRAN (IQNA) – Hija, ni ibada ya kila mwaka ya dini ya Kiislamu katika mji mtakatifu wa Makka, inakaribia kutufikia, na safari ya kiroho pia inahusisha maandalizi mazuri ya matibabu kwa uzoefu wa kufurahisha.
Habari ID: 3477102    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/05

Hija 1444
TEHRAN (IQNA) – Mazoezi ya usalama wa mtandao wa intaneti kwa ajili ya ibada ya Hija ya mwezi ujao yamefanyika nchini Saudi Arabia.
Habari ID: 3477082    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/02