IQNA – Picha zilizopigwa mwishoni mwa Julai 2025 zinaonesha athari za mashambulizi ya kigaidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya mji mkuu wa Iran, Tehran, mwezi Juni, ambapo maeneo ya makaazi ya raia yalilengwa.
IQNA – Hatua ya mkoa ya Mashindano ya 48 ya Kitaifa ya Qur'ani Tukufu nchini Iran ilianza asubuhi ya Ijumaa, Julai 25, 2025, chini ya usimamizi wa Idara ya Wakfu na Masuala ya Hisani ya Mkoa wa Tehran, katika Hoteli ya Eram.
IQNA – Hafla ya kuwaaga wafanyakazi wa kujitolea wa Jumuiya ya Hilali Nyekundu ya Iran (IRCS) ilifanyika mnamo Julai 26, 2025, katika Haram ya Imam Khomeini, kusini mwa Tehran, kabla ya kuelekea Iraq kwa ajili ya hija ya Arbaeen.
IQNA-Katika kuunga mkono kampeni ya Qur’ani Tukufu iitwayo Fath inayoendeshwa na Shirika la Habari la Kimataifa la Qur’ani (IQNA), msomaji mashuhuri na mwalimu wa kimataifa wa Qur’ani, Ali Akbar Kazemi, amesoma kwa tartili Aya ya 139 ya Surah Al-Imran.