Habari Maalumu
IQNA-Maonyesho ya sanaa za Qur’ani na kidini yenye kichwa “Sanaa ya Mapenzi, Imani na Ashura” yalifanyika katika Chuo Kikuu cha Kashmir yakiratibiwa na...
22 Aug 2025, 15:37
IQNA – Saudi Arabia imetangaza washindi katika makundi matano ya Mashindano ya 45 ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Mfalme Abdulaziz yaliyofanyika mjini...
21 Aug 2025, 16:57
IQNA – Haram Tukufu ya Imam Ali (AS) mjini Najaf imefunikwa kwa vitambaa vyeusi ikiwa ni sehemu ya maandalizi makubwa ya kumbukumbu ya Wafat au kufariki...
20 Aug 2025, 17:13
IQNA – Magaidi walifyatua risasi ndani ya msikiti katika eneo la kaskazini-kati mwa Nigeria wakati wa Swala ya Alfajiri siku ya Jumanne, na kuua angalau...
20 Aug 2025, 17:06
IQNA – Wosia wa Mtume Mtukufu Muhammad (SAW) kuhusu Ahlul-Bayt (AS), Qur’an Tukufu, na ulazima wa kulinda umoja wa Waislamu unaonyesha dira yake ya kujenga...
20 Aug 2025, 17:01
IQNA – Zaidi ya watoto 3,000 wamekusanyika katika Haram Tukufu ya Imam Ridha (AS) mjini Mashhad kwa ajili ya kongamano la Qur’ani lililopewa jina “Malaika...
20 Aug 2025, 16:49
IQNA – Mashindano ya 45 ya Kimataifa ya Qur’an Tukufu ya Mfalme Abdulaziz yanatarajiwa kufikia tamati kwa hafla maalum itakayofanyika mjini Makkah siku...
20 Aug 2025, 16:41
IQNA – Washiriki wa Mashindano ya 45 ya Kimataifa ya Qur’ani ya Mfalme Abdulaziz wametembelea misikiti ya kihistoria na maeneo ya turathi katika mji wa...
19 Aug 2025, 15:57
IQNA – Fathima Sajla Ismail kutoka jimbo la Karnataka, India, amekamilisha kuandika Qur’ani Tukufu yote kwa mkono akitumia kalamu ya jadi ya kuzamisha...
19 Aug 2025, 15:42
IQNA – Jumapili, mji wa Banihal katika eneo la Kashmir linalosimamiwa na India uliandaa Mkutano wa Pili wa Qur’ani ya Braille kwa watu wenye ulemavu wa...
19 Aug 2025, 15:23
IQNA – Gavana wa mkoa wa Kafr el-Sheikh nchini Misri amesema kuwa marehemu qari Sheikh Abulainain Shuaisha alikuwa balozi bora wa Qur’ani na ataendelea...
19 Aug 2025, 15:11
IQNA – Mchujo wa awali wa usomaji kwa ajili ya Mashindano ya 7 ya Kimataifa ya Qur’ani kwa Wanafunzi Waislamu umekamilika, ambapo kazi kutoka nchi 36 zimepitiwa.
19 Aug 2025, 14:38
IQNA – Mwanazuoni mmoja wa Kiirani amehimiza ushirikiano imara kati ya misikiti duniani, akisisitiza haja ya hatua za pamoja kulinda Msikiti wa Al-Aqsa...
18 Aug 2025, 23:19
IQNA – Mwanazuoni wa dini kutoka Qom amemwelezea Mtume Muhammad (SAW) kuwa ndiye kielelezo bora kabisa kwa wanadamu, akisisitiza kuwa tabia yake njema...
18 Aug 2025, 22:57
IQNA – Awamu ya awali ya kategoria ya usomaji katika Mashindano ya 7 ya Kimataifa ya Qur'ani kwa Wanafunzi Waislamuyaliyoandaliwa na Jamhuri ya Kiislamu...
18 Aug 2025, 22:46