Picha: Siku ya Tatu ya Awamu ya 40 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran
IQNA - Awamu ya 40 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani yaJamhuri ya Kiislamu ya Iran yaliendelea Jumapili, Februari 18, huku washiriki wa mataifa mbalimbali wakipanda jukwaani.