iqna

IQNA

Mashindano ya Kimataifa ya Qurani ya Iran
Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran
IQNA - Mafanikio ya katika Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran ni matokeo ya juhudi za pamoja katika uwanja wa shughuli za Qur'ani nchini, afisa mwandamizi amesema.
Habari ID: 3478423    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/27

Mashindano ya Qur'ani ya Iran
IQNA – Mtaalamu wa Qur’ani wa Syria amesisitiza kuwa kusoma Qur’ani haitoshi kwani Waislamu wanapaswa kufungua nyoyo zao kwa mafundisho ya Kitabu hicho Kitukufu.
Habari ID: 3478406    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/24

IQNA – Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei aliwapokea waandaaji, washindani, na jopo la waamuzi wa Awamu ya 40 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran tarehe 22 Februari 2024, mjini Tehran.
Habari ID: 3478400    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/23

Mashindano ya Qur'ani
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, kuwaunga mkono na kuwasaidia wananchi na muqawama au wanamapambano wa Kiislamu wa Ukanda wa Gaza ndilo jukumu kubwa zaidi katika kutekeleza mafundisho ya Qur'ani hivi sasa.
Habari ID: 3478398    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/22

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Qari wa Qur'ani Tukufu kutoka Visiwa vya Comoro (Komoro) amesema ndoto yake imetimia kwa kupata fursa ya kushiriki katika Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran.
Habari ID: 3478396    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/22

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Mashindano ya Qur'ani ni miongoni mwa mashindano ambayo hakuna atakayeshindwa na kila mshindani ni mshindi.
Habari ID: 3478394    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/22

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Hafla ya kuhitimisha Awamu ya 40 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran ilifanyika Jumatano jioni mjini Tehran. Washindi wa kategoria tofauti katika sehemu za wanaume na wanawake walitajwa na kutunukiwa zawadi na vyeti katika hafla hiyo, ambayo ilihutubiwa na Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Sayyid Ebrahim Raeisi na Waziri wa Utamaduni na Miongozo ya Kiislamu Mohammad Mehdi Esmaeili.
Habari ID: 3478393    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/22

Mashindano ya Qur'ani
IQNA-Mashindano ya 40 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yalimalizika Jumatano huku washindi wakitunukiwa zawadi.
Habari ID: 3478392    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/21

IQNA - Jumanne usiku Awamu ya 40 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran ilifika ukingoni ambapo wahifadhi na maqari waliofuzu katika fainali ya mashindano ya wanaume walipandwa jukwani.
Habari ID: 3478391    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/21

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Mtaalamu wa Qur'ani wa Bangladesh amesisitiza haja ya kukimbilia Qur'ani Tukufu ili kuunda ustaarabu mpya wa Kiislamu.
Habari ID: 3478390    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/21

Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran
IQNA - Mwakilishi wa Saudi Arabia katika Mashindano ya 40 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran amepongeza ubora na umaanawi au hali ya kiroho ya mashindano hayo.
Habari ID: 3478389    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/21

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Wahitimu wa kategoria za qiraa na hifdhi katika sehemu ya wanaume walipanda jukwani Jumanne usiku katika siku ya mwisho ya awamu ya 40 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran.
Habari ID: 3478388    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/21

Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani
IQNA – Hafidh wa Qur'ani Tukufu kutoka Niger ambaye ameshiriki fainali ya Awamu ya 40 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran alisema kujifunza Qur'ani kumebadilisha maisha yake.
Habari ID: 3478387    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/21

IQNA - Qassem Moqaddami, qari maarufu wa Iran, alikuwa qari mgeni wa heshima wa usiku wa tatu wa Awamu ya 40 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran.
Habari ID: 3478385    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/20

Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran
IQNA - Katika siku ya nne Awamu ya 40 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran, makari na wahifadhi kadhaa kutoka mataifa tofauti walipanda jukwaani.
Habari ID: 3478384    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/20

Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani
IQNA - Qari wa Algeria anayeshiriki katika Awamu ya 40 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran apongeza kauli mbiu ya mwaka huu ya tukio hilo adhimu la Qur'ani.
Habari ID: 3478383    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/20

Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani
IQNA - Sambamba na Awamu ya 40 ya Mashindano ya kimataifa ya Qur'ani ya Iran, ambayo yamekuwa yakiendelea mjini Tehran tangu Alhamisi, nchi kote Iran kumeandaliwa vikao 270 vya usomaji Qur'ani katika miji tofauti.
Habari ID: 3478381    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/20

Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran
IQNA - Siku ya tatu ya kitengo cha wanawake katika Awamu ya 40 ya Mashindano ya kimataifa ya Qur'ani ya Iran ilishuhudia wahifadhi kutoka nchi 11 waliofaulu.
Habari ID: 3478380    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/20

IQNA - Awamu ya 40 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani yaJamhuri ya Kiislamu ya Iran yaliendelea Jumapili, Februari 18, huku washiriki wa mataifa mbalimbali wakipanda jukwaani.
Habari ID: 3478379    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/19

IQNA - Awamu ya 40 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani yaJamhuri ya Kiislamu ya Iran yaliendelea Jumapili, Februari 18, huku washiriki wa mataifa mbalimbali wakipanda jukwaani.
Habari ID: 3478378    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/19