IQNA

Ukumbi wa Picha

Ufunguzi wa Mashindano ya 40 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran

IQNA- Sherehe za ufunguzi wa Mashindano ya 40 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran zimefanyika leo Alhamisi tarehe 5 Shaaban 1445 Hijria Qamaria sawa na 15 Februari 2024.

Ufunguzi wa mashindano hayo umehudhuriwa na Mohammad Baqer Qalibaf, Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu  (Bunge la Iran)  na Mohammad Mahdi Esmaili, Waziri wa Utamaduni na Miongozo ya Kiislamu katika Ukumbi wa Mkutano wa Kilele wa nchi za Kiislamu.

 

 

 
Habari zinazohusiana