IQNA

Waziri wa Wakfu wa Algeria asisitiza uchapishaji sahihi wa Qur’ani Tukufu

Waziri wa Wakfu wa Algeria asisitiza uchapishaji sahihi wa Qur’ani Tukufu

IQNA – Waziri wa Wakfu na Masuala ya Dini wa Algeria amesisitiza umuhimu wa umakini mkubwa katika uchapishaji wa Qur’ani Tukufu.
15:29 , 2025 Sep 22
Jamii ya Illinois Marekani yaadhimisha ‘Siku ya Wadee’ kumkumbuka mtoto wa Kipalestina aliyeuawa kwa Chuki

Jamii ya Illinois Marekani yaadhimisha ‘Siku ya Wadee’ kumkumbuka mtoto wa Kipalestina aliyeuawa kwa Chuki

IQNA – Wakazi wa Plainfield, jimbo la Illinois, walikusanyika Jumapili kuadhimisha siku maalum ya kumkumbuka Wadee Alfayoumi, mtoto wa miaka sita mwenye asili ya Kipalestina na Mmarekani aliyeuawa katika tukio la chuki takriban miaka miwili iliyopita.
15:25 , 2025 Sep 22
Qiraa |  Qari Alireza Rezaei akisoma aya za Qur'ani za Surah Az-Zumar

Qiraa | Qari Alireza Rezaei akisoma aya za Qur'ani za Surah Az-Zumar

Sauti ya usomaji wa aya za 61 hadi 70 kutoka Surah Az-Zumar, pamoja na aya za 1 hadi 7 kutoka Surah Al-A‘la, kwa sauti ya Alireza Rezaei, qari wa kimataifa wa Qur’ani Tukufu inawasilishwa hapa kwa wanaofuatilia tovuti ya IQNA. Qiraa hii ilirekodiwa katika katika mkusanyiko wa kiroho uliofanyika katika haram tukufu ya Imam Ridha (AS) katika mji wa Mashhad kaskazini mashariki mwa Iran.
15:52 , 2025 Sep 21
Mbunge wa Bunge la Marekani asema anajivunia Uislamu wake

Mbunge wa Bunge la Marekani asema anajivunia Uislamu wake

IQNA – Mjumbe wa chama cha Democratic katika Bunge la Marekani, Bi Ilhan Omar, amesisitiza utambulisho wake wa Kiislamu, akisema anajivunia kuwa Mwislamu.
15:40 , 2025 Sep 21
Qari: Kipindi cha Qur’ani cha Iran “Mahfel” chavuma kimataifa

Qari: Kipindi cha Qur’ani cha Iran “Mahfel” chavuma kimataifa

IQNA –Qari na Mtangazaji wa kipindi maarufu cha Qur’ani cha televisheni ya Iran, Mahfel, amesema kuwa kipindi hicho kimepata umaarufu mkubwa kimataifa, kikivutia watazamaji kutoka ulimwengu wa Kiislamu na hata katika maengine ya dunaini.
15:25 , 2025 Sep 21
Onyo la IRGC: Iran itajibu vikali uchokozi wowote mpya wa maadui

Onyo la IRGC: Iran itajibu vikali uchokozi wowote mpya wa maadui

IQNA- Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limewaonya maadui wa Iran hususan utawala wa Kizayuni wa Israel na Marekani kwamba, watakabiliwa na majibu makali na madhubuti ya Jamhuri ya Kiislamu iwapo watafanya makosa yoyote mapya au kufanya kitendo chochote cha uchokozi dhidi ya nchi hii.
15:06 , 2025 Sep 21
Nchi 70 zashiriki Tuzo ya Kimataifa ya Qur’ani ya Libya mjini Benghazi

Nchi 70 zashiriki Tuzo ya Kimataifa ya Qur’ani ya Libya mjini Benghazi

IQNA – Mji wa Benghazi ulioko kaskazini mashariki mwa Libya ni mwenyeji wa toleo la 13 la mashindano ya kimataifa ya Qur’ani ya nchi hiyo.
14:57 , 2025 Sep 21
Fainali za Mashindano ya 6 ya Qur’ani kwa Maulamaa wa Afrika kufanyika wiki ijayo

Fainali za Mashindano ya 6 ya Qur’ani kwa Maulamaa wa Afrika kufanyika wiki ijayo

IQNA – Taasisi ya Mohammed VI ya Maulamaa wa Afrika inatarajiwa kuandaa fainali za mashindano yake ya sita ya kuhifadhi, kusoma, na tajwidi ya Qur’ani Tukufu kuanzia tarehe 26 hadi 28 Septemba.
14:50 , 2025 Sep 21
Waislamu Texas walengwa katika tukio la Chuki dhidi ya Uislamu

Waislamu Texas walengwa katika tukio la Chuki dhidi ya Uislamu

IQNA – Polisi wa McKinney, Texas, walifika wiki hii katika eneo la tukio la uhalifu lililotokea katika kituo cha elimu ya Kiislamu ambacho kikundi cha kutetea Waislamu kimekitaja kuwa ni unyanyasaji wa chuki dhidi ya Uislamu.
18:46 , 2025 Sep 20
Khatibu wa Al-Aqsa akamatwa baada ya hotuba kali dhidi ya Ukimya wa Waarabu na Waislamu

Khatibu wa Al-Aqsa akamatwa baada ya hotuba kali dhidi ya Ukimya wa Waarabu na Waislamu

IQNA – Polisi wa utawala wa Israel wamemkamata Sheikh Mohammad Sarandah, khatibu wa Msikiti wa Al-Aqsa, muda mfupi baada ya kutoa hotuba ya Ijumaa, kwa mujibu wa Waqfu wa Kiislamu wa al-Quds.
18:41 , 2025 Sep 20
‘Tuzingatie Yanayotuunganisha’: Mwanaharakati wa Malaysia Awasihi Waislamu

‘Tuzingatie Yanayotuunganisha’: Mwanaharakati wa Malaysia Awasihi Waislamu

IQNA – Mwanaharakati kutoka Malaysia amesema kuwa mataifa ya Kiislamu yanapaswa kuangazia mambo yanayowafungamanisha na kushikamana kukabiliana na changamoto za pamoja.
18:28 , 2025 Sep 20
Mufti Mkuu wa Misri: Qur’ani Tukufu Yaona Tofauti za Kitamaduni Kama Fursa ya Ushirikiano

Mufti Mkuu wa Misri: Qur’ani Tukufu Yaona Tofauti za Kitamaduni Kama Fursa ya Ushirikiano

IQNA – Mufti Mkuu wa Misri amesisitiza kuwa Qur’ani Tukufu haioni tofauti kati ya mataifa na tamaduni kuwa chanzo cha mizozo, bali huzitambua kama fursa ya ushirikiano na maelewano.
18:24 , 2025 Sep 20
Shambulizi la Msikiti Sudan Laua Zaidi ya Raia 70

Shambulizi la Msikiti Sudan Laua Zaidi ya Raia 70

IQNA – Waasi wa RSF wametekeleza shambulizi la ndege isiyo na rubani dhidi ya msikiti mjini el-Fasher, Sudan, siku ya Ijumaa, na kuwaua zaidi ya raia 70, kwa mujibu wa Baraza la Uongozi la Sudan na waokoaji wa eneo hilo.
18:20 , 2025 Sep 20
Mabadiliko ya kidijitali katika Misikiti Miwili Mitakatifu ya Makka na Madina yaboresha huduma kwa waumini

Mabadiliko ya kidijitali katika Misikiti Miwili Mitakatifu ya Makka na Madina yaboresha huduma kwa waumini

IQNA – Mamlaka Kuu ya Masuala ya Misikiti Miwili Mitakatifu imetangaza mafanikio ya utekelezaji wa mazingira ya kidijitali katika Msikiti Mkuu wa Makka na Msikiti wa Mtume (SAW) mjini Madina.
17:51 , 2025 Sep 19
Hamas na Harakati ya Jihad ya Kiislamu walaani Veto ya Marekani dhidi ya azimio la kusitisha vita Gaza

Hamas na Harakati ya Jihad ya Kiislamu walaani Veto ya Marekani dhidi ya azimio la kusitisha vita Gaza

IQNA – Harakati za mapambano ya ukombozi wa Wapalestina, Hamas na Jihad ya Kiislamu, zimetoa matamko ya kulaani hatua ya Marekani kutumia kura ya turufu au veto kuzuia kupitishwa kwa rasimu ya azimio la kusitisha vita Gaza, wakisema kuwa hatua hiyo inachochea jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel.
17:39 , 2025 Sep 19
6