IQNA

Qari Kijana: Mashindano ya ‘Zayin al-Aswat’ Ni Jukwaa Muafaka la Kugundua Vipaji vya Qur’ani

Qari Kijana: Mashindano ya ‘Zayin al-Aswat’ Ni Jukwaa Muafaka la Kugundua Vipaji vya Qur’ani

IQNA – Qari kijana kutoka Iran aliyeshiriki katika toleo la kwanza la mashindano ya Qur’ani ya ‘Zayin al-Aswat’(mapambo ya sauti) amesifu ubora wa mashindano hayo na kuyataja kuwa fursa muhimu ya kutambulisha wasomaji wa Qur’ani wasiojulikana sana nchini.
18:04 , 2025 Oct 03
Washindi waenziwa katika Mashindano ya Kwanza ya Kitaifa ya Qur’ani ‘ya Zayin al-Aswat’ Mjini Qom

Washindi waenziwa katika Mashindano ya Kwanza ya Kitaifa ya Qur’ani ‘ya Zayin al-Aswat’ Mjini Qom

IQNA – Hafla ya kufunga mashindano ya kwanza ya kitaifa ya Qur’ani yenye jina “Zayen al-Aswat” (mapambo ya sauti) ilifanyika siku ya Alhamisi mjini Qom, ambapo washiriki bora walienziwa na kutunukiwa zawadi.
17:59 , 2025 Oct 03
Washindi wa Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani Nchini Croatia waenziwa

Washindi wa Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani Nchini Croatia waenziwa

IQNA – Toleo la 31 la mashindano ya kimataifa ya kuhifadhi na kusoma Qur’ani nchini Croatia limehitimishwa kwa hafla rasmi mjini Zagreb.
17:53 , 2025 Oct 03
Msichana wa Kipalestina akamilisha kuhifadhi Qur'ani Tukufu hospitalini licha ya majeraha makubwa

Msichana wa Kipalestina akamilisha kuhifadhi Qur'ani Tukufu hospitalini licha ya majeraha makubwa

IQNA – Msichana wa Kipalestina aliyejeruhiwa ameweza kuhifadhi Qur'ani Tukufu yote akiwa kitandani hospitalini.
17:48 , 2025 Oct 03
‘Gaza, Huko Peke Yako’: Waandamanaji duniani walaani Israel kwa kuteka meli za misaada ya Gaza

‘Gaza, Huko Peke Yako’: Waandamanaji duniani walaani Israel kwa kuteka meli za misaada ya Gaza

IQNA – Idadi kubwa ya watu wameshiriki katika maandamano katika nchi mbalimbali kuonyesha mshikamano na Gaza na kulaani hatua ya Israel kuuteka nyara Msafara wa Meli wa Global Sumud uliokuwa umebeba misaada ya kibinadamu kuelekea eneo hilo a Wapalestina.
17:41 , 2025 Oct 03
Al-Azhar ya Misri yazindua Apu ya kufundisha Qur’ani Tukufu

Al-Azhar ya Misri yazindua Apu ya kufundisha Qur’ani Tukufu

QNA – Kwa jitihada za vituo vinavyohusiana na Al-Azhar nchini Misri, programu maalumu ya kufundisha Qur’ani Tukufu imezinduliwa kwa lengo la kuhudumia Kitabu Kitukufu cha Mwenyezi Mungu.
17:08 , 2025 Oct 02
Mashindano ya Kwanza ya Kitaifa ya Qur’ani ‘Zayin al-Aswat’ yafanyika Qom

Mashindano ya Kwanza ya Kitaifa ya Qur’ani ‘Zayin al-Aswat’ yafanyika Qom

IQNA – Siku ya kwanza ya mashindano ya kitaifa ya Qur’ani yajulikanayo kama “Zayin al-Aswat” (mapambo ya sauti) ilianza rasmi Jumatano mjini Qom, yakikusanya vijana wasomaji wa Qur’ani kutoka pembe zote za Iran.
16:38 , 2025 Oct 02
Kwa Picha: Siku ya Kwanza ya Mashindano ya Qur’ani ya ‘Zayin al-Aswat’

Kwa Picha: Siku ya Kwanza ya Mashindano ya Qur’ani ya ‘Zayin al-Aswat’

IQNA – Toleo la kwanza kabisa la mashindano ya kitaifa ya Qur’ani lijulikanalo kama “Zayin al-Aswat” (mapambo ya sauti) limefanyika mjini Qom mnamo Oktoba 1, 2025. Mashindano haya yamekusanya washiriki kutoka maeneo mbalimbali nchini Iran, yakilenga kuhimiza usomaji wa Qur’ani kwa ufasaha na sauti ya kuvutia, sambamba na kuenzi vipaji vya vijana katika usomaji wa kitabu kitakatifu. Picha za siku ya kwanza zinaonesha hali ya mshikamano, heshima, na ari ya kiroho miongoni mwa washiriki na watazamaji.
16:26 , 2025 Oct 02
‘Uharamia Baharini’: Shambulizi la Israeli dhidi ya Msafara wa Sumud unaokwenda Gaza lazua malalamiko makali

‘Uharamia Baharini’: Shambulizi la Israeli dhidi ya Msafara wa Sumud unaokwenda Gaza lazua malalamiko makali

IQNA – Hatua ya utawala wa Israeli kuzuia meli za Msafara wa Kimataifa wa Sumud imezua shutuma kali kutoka kwa serikali na mashirika ya kimataifa kote duniani.
16:13 , 2025 Oct 02
Lengo la Mashindano ya Qur'ani ya ‘Zayin al-Aswat’ latajwa

Lengo la Mashindano ya Qur'ani ya ‘Zayin al-Aswat’ latajwa

IQNA – Mkurugenzi mtendaji wa toleo la kwanza la mashindano ya Qur'ani ya kitaifa ya ‘Zayin al-Aswat’ (mapambo ya sauti) amesema kuwa katika mashindano mengi ya Qur'an, kila kitu huisha kwa sherehe ya kufunga na kuwatuza washindi na sasa sekretarieti ya tukio hili la Qur'an inalenga kuandamana na washiriki kupitia mawasiliano endelevu na yenye tija ili kuwafikisha katika viwango vya kitaalamu na vya kimataifa.
18:33 , 2025 Oct 01
Waislamu wa Rohingya wadai haki katika Umoja wa Mataifa, wakemea umwagaji damu kikatili Myanmar

Waislamu wa Rohingya wadai haki katika Umoja wa Mataifa, wakemea umwagaji damu kikatili Myanmar

IQNA – Wanaharakati wa Kiislamu wa Rohingya wamekutana na viongozi wa dunia katika mkutano wa ngazi ya juu wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa wiki hii, wakitoa ushuhuda wa kusikitisha kuhusu mateso na ukatili unaoendelea.
18:25 , 2025 Oct 01
Ofisi ya Ayatullah Sistani yapiga marufuku maombolezo ya mke wake nje ya Najaf

Ofisi ya Ayatullah Sistani yapiga marufuku maombolezo ya mke wake nje ya Najaf

IQNA – Ofisi ya kiongozi mkuu wa Kishia nchini Iraq, Ayatullah Mkuu Ali al-Sistani, imetangaza kuwa hairuhusiwi kufanya ibada za maombolezo kwa mke wake marehemu nje ya mji wa Najaf au katika mikoa mingine ya Iraq.
17:56 , 2025 Oct 01
Maldives Yaripoti Ukuaji wa Kuhifadhi Qur'an, Idadi ya Ma-Hafidh Yaongezeka

Maldives Yaripoti Ukuaji wa Kuhifadhi Qur'an, Idadi ya Ma-Hafidh Yaongezeka

IQNA – Serikali ya Maldives (Maldivi) imetangaza kuwa sasa kuna zaidi ya watu 280 waliothibitishwa kama ma-Hafidh wa Qur'an, huku wengine zaidi ya 1,500 wakiendelea na programu za kuhifadhi Qur'an, kwa mujibu wa taarifa kutoka Wizara ya Mambo ya Kiislamu ya nchi hiyo.
17:49 , 2025 Oct 01
Moto katika Msikiti wa Minneapolis Marekani wazua hofu miongoni mwa Waislamu licha ya taarifa ya ‘Ajali’

Moto katika Msikiti wa Minneapolis Marekani wazua hofu miongoni mwa Waislamu licha ya taarifa ya ‘Ajali’

IQNA – Tukio la moto katika Msikiti wa Kituo cha Kiislamu Alhikma, ulioko Mtaa wa 32 kusini mwa Minneapolis, limezua wasiwasi mkubwa miongoni mwa viongozi wa Kiislamu, ambao sasa wanatoa wito wa uchunguzi wa kina, licha ya mamlaka za zimamoto kusema kuwa tukio hilo lilikuwa la bahati mbaya.
17:45 , 2025 Oct 01
Kuwait: Mtu akamatwa kwa njama ya kushambulia maeneo ya ibada

Kuwait: Mtu akamatwa kwa njama ya kushambulia maeneo ya ibada

IQNA – Vikosi vya Usalama wa Taifa nchini Kuwait vimekamata raia wa Kiarabu aliyehusishwa na kikundi kilichopigwa marufuku, kwa tuhuma za kupanga shambulizi dhidi ya maeneo ya ibada, maafisa wamesema.
17:11 , 2025 Sep 30
2