uingereza - Ukurasa 9

IQNA

Harakati za makundi yanayowaunga mkono wananchi wa Palestina na kutetea haki za binadamu dhidi ya safari iliyopangwa kufanywa na Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel na mazungumzo yake na viongozi wa Uingereza zimeshadidi na kushika kasi zaidi.
Habari ID: 3358320   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/05

Idadi ya misikiti duniani inakadiriwa kuongezeka na kufika takribani milioni nne ifikapo mwaka 2019.
Habari ID: 3336897   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/29

Nakala ambayo yumkini ikawa miongoni mwa nakala za zamani zaidi za kitabu kitakatifu cha Qur’ani Tukufu imegundulwia nchini Uingereza.
Habari ID: 3332252   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/22

Mtoto Mwislamu mwenye umri wa miaka miwili amepigwa risasi na kuumizwa vibaya kichwani katika mji wa Bradford nchini Uingereza.
Habari ID: 3304654   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/05/18

Wabunge 13 Waislamu wamechaguliwa katika uchaguzi wa hivi karibuni nchini Uingereza na hivyo kuweka rekodi mpya iliyoongezeka kutoka wabunge 8 mwaka 2010.
Habari ID: 3276825   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/05/09

Wanazuoni waandamizi wa Kishia na Kisunni nchini Uingereza wamefanya kikao cha pamoja na kujadili njia za kuimarisha umoja miongoni mwa Waislamu sambamba na kukabiliana na kampeni za kuibua fitina katika ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 1449625   Tarehe ya kuchapishwa : 2014/09/14

Takwimu mpya katika mji mkuu wa Norway, Oslo zinaoneysha kuwa, Mohammad, jina la Mtume Mtukufu wa Uislamu (SAW) ndio jina mashuhuri zaidi mjini humo.
Habari ID: 1444599   Tarehe ya kuchapishwa : 2014/08/30

Mashindano ya kuhifadhi Qur'ani Tukufu nchini Uingereza yamepangwa kufanyika mwezi ujao nchini humo yakiwashirikisha vijana wa Kiislamu.
Habari ID: 1439998   Tarehe ya kuchapishwa : 2014/08/17

Demba Ba mchezaji wa Timu ya Soka ya Chelsea katika ligi ya Premier nchini nchini Uingereza amefadhili kikamilifu ujenzi wa msikiti katika nchi yake asili, Senegal.
Habari ID: 1405411   Tarehe ya kuchapishwa : 2014/05/10