makka - Ukurasa 3

IQNA

IQNA – Wanazuoni wa Kiislamu kutoka sehemu mbalimbali za ulimwengu wa Kiislamu waliokutana katika mji mtakatifu wa Makka wamefikia muafaka  kuhusu Ensiklopidia ya Makubaliano ya Kifikra ya Kiislamu pamoja na Mpango wa Mkakati wa kuimarisha Umoja kati ya Madhehebu za Kiislamu.
Habari ID: 3480344   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/10

IQNA – Masjid al Haram au Msikiti Mkuu katika mji mtukufu wa Makka ni mwenyeji wa maonyesho kuhusu historia ya Kaaba.
Habari ID: 3480343   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/10

IQNA – Mpango wa usimamizi wa mwezi mtukufu wa Ramadhan umezinduliwa katika mji mtakatifu wa Makka nchini Saudi Arabia.
Habari ID: 3480270   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/26

IQNA – Kongamano la kimataifa juu ya “Thamani za Maadili katika Quran” lilifanyika pembeni mwa mashindano ya 10 ya kijeshi ya Qur'an huko Makka.
Habari ID: 3480174   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/07

Harakati za Qur'ani
IQNA – Mamlaka ya Jumla kwa Huduma za Masuala ya Msikiti Mkuu wa Makka (Masjid Al Haram) na Msikiti wa Mtume (Al-Masjid an-Nabawi) jijini Madina imetangaza uzinduzi vikao maalumu vya  msimu wa baridi vya  kusoma na kuhifadhi Qur'ani katika Msikiti Mkuu wa Makka..
Habari ID: 3479989   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/01

IQNA – Video na picha zinazoonyesha mvua inayonyesha juu ya Kaaba Tukufu katika Msikiti Mkuu katika mji wa Makka zimevuma  na kuvutia wengie kwenye majukwaa ya mitandao ya kijamii.
Habari ID: 3479967   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/28

Turathi za Kiislamu
IQNA - Mufti na naibu mufti wa Kyrgyzstan wameonyesha kuvutiwa kwao na turathi za kitamaduni na katika maonyesho huko Wilaya ya Utamaduni ya Hira huko Mecca. 
Habari ID: 3479912   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/17

Maombolezo
IQNA – Seyed Ahmad Marateb, ambaye alikuwa Muirani wa kwanza Kuadhini juu ya paa la Kaaba Tukufu amefariki akiwa na umri wa miaka 72.
Habari ID: 3479813   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/26

Umrah
IQNA - Mamlaka ya Saudia imetangaza muda maalum kwa waumini kusali Swala za Sunna katika eneo la Hateem, linalojulikana pia kama Hijr Ismail, ambalo ni ukuta wa nusu duara ulio karibu na Kaaba Tukufu katika Msikiti Mkuu, Makka.
Habari ID: 3479751   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/15

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Wakati wa hafla katika Msikiti Mkuu wa Makkah, washindi wa Mashindano ya 44 ya Kimataifa ya Mfalme Abdulaziz ya Kuhifadhi, Kusoma na Kutafsiri Qur'ani wametangazwa na kutunukiwa zawadi.
Habari ID: 3479318   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/23

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Sherehe za kufunga Mashindano ya Kimataifa ya 44 ya Mfalme Abdulaziz ya Kuhifadhi, Kusoma na Kutafsiri Qur'ani zitafanyika katika Msikiti Mkuu wa Makka siku ya Jumatano.
Habari ID: 3479307   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/20

IQNA – Washiriki wa Mashindano ya kimataifa ya Qur'ani ya Saudi Arabia wametembelea Kituo cha Mfalme Fahd cha Uchapishaji wa Qur'ani Tukufu mjini Madina.
Habari ID: 3479306   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/20

Mashindano ya Qur'ani
IQNA – Sehemu ya mwisho  ya Toleo la 44 la Mashindano ya Kimataifa ya Mfalme Abdulaziz ya Kuhifadhi , Kusoma na Kutafsiri Qur'ani Tukufu huko Makka imekamilika huko Makka.
Habari ID: 3479290   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/17

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Mmoja wa wawakilishi wawili wa Iran katika mashindano ya kimataifa ya Qur'ani Tukufu mjini Makka alitia fora na kuwavutia sana hadhirina wakati aliopandaa jukwaa Jumatatu.
Habari ID: 3479274   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/13

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Jumla ya washiriki 173 kutoka nchi 123 wanashiriki katika toleo la 44 la Mashindano ya Kimataifa ya Mfalme Abdulaziz ya Kuhifadhi , Kusoma na Kutafsiri Qur'ani Tukufu huko Makka.
Habari ID: 3479264   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/11

Mashindano ya Qur'ani
IQNA – Toleo la 44 la Mashindano ya Kimataifa ya Mfalme Abdulaziz ya Kuhifadhi, Kusoma na Kutafsiri Qur’ani Tukufu yalianza mjini Makka kwa awamu za awali za kufuzu siku ya Ijumaa.
Habari ID: 3479258   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/10

Nchi za Kiislamu
IQNA - Mkutano wa 9 wa kimataifa wa mawaziri wa Awqaf (wakfu) wa nchi za Kiislamu ulianza katika mji mtakatifu wa Makka, Saudi Arabia, Jumapili.
Habari ID: 3479227   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/04

Karbala ya Mwaka 1445
Kifuniko, kinachojulikana kama Kiswa, cha Kaaba Tukufu kinatarajiwa kubadilishwa katika siku ya kwanza ya mwezi wa maombolezo ya Muharram, mamlaka ya Saudi ilisema.
Habari ID: 3479079   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/06

Hija ya mwaka huu
Mabadiliko ya hali ya hewa yalizidisha hali ya joto nchini Saudi Arabia inayolaumiwa kwa vifo vya watu 1,300 katika ibada ya Hija mwezi huu.
Habari ID: 3479046   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/01

Hija ya Mwaka 1445
IQNA-Upangaji wa Hija ya mwaka ujao utaanza mara tu baada ya mafanikio ya hija mwaka huu kumalizika, afisa mmoja wa Saudia amesema.
Habari ID: 3478991   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/20