iqna

IQNA

MINUSCA
TEHRAN (IQNA) - Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amelaani vikali shambulio liliofanya na wapiganaji wasiojulikana waliokuwa na silaha karibu na mji mkuu wa Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR) na kuua na kujeruhi akari wa vikosi vya ulinzi na usalama vya nchi hiyo wakiwemo pia walinda amani wa Umoja wa Mataifa.
Habari ID: 3473556    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/14