iqna

IQNA

muhandis
Mashahidi wa Muqawama
TEHRAN (IQNA) - Makamanda wa muqawama Luteni Jenerali Qassem Soleimani na Abu Mahdi al-Muhandis walizuia njama za nchi za Magharibi dhidi ya Umma wa Kiislamu, kiongozi mkuu wa Kisunni wa Iraq alisema.
Habari ID: 3476342    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/01

Mashahidi wa Muqawama
TEHRAN (IQNA) – Hauli imefanyika mjini Tiro nchini Lebanon kwa ajili ya makamanda wa muqawama mashahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani na Abu Mahdi al-Muhandis.
Habari ID: 3476341    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/01

TEHRAN (IQNA)- Rais Barham Salih wa Iraq amesema mashahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani na Abu Mahdi al Muhandis walikuwa na nafasi muhimu sana katika vita dhidi ya magaidi nchini humo hasa magaidi wa ISIS au Daesh.
Habari ID: 3474769    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/05

TEHRAN (IQNA)- Kundi la vyama vya siasa na asasi za kiraia nchini Tunisia zimefanya kongamano kwa mnasaba wa mwaka wa pili wa kuuawa shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) na Abu Mahdi al-Muhandis, Naibu Mkuu wa Kikosi cha Kujitolea cha Wananchi wa Iraq cha Hashd al Sha'abi.
Habari ID: 3474743    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/30

#for_martyrs' sake
TEHRAN (IQNA)- Kampeni ya Kimataifa ya kusoma Qur'ani Tukufu kwa munasaba wa mwaka wa pili tokea auawe shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani imezinduliwa.
Habari ID: 3474735    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/28

TEHRAN (IQNA) - kitabu cha maisha ya Shahidi Qassem Soleimani, alichoandika yeye mwenyewe kiitwacho "Nilikuwa Sihofu Chochote" kimezinduliwa leo.
Habari ID: 3473519    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/03

TEHRAN (IQNA) - Harakati ya Nujaba ya Iran imeilaani vikali televisheni Televisheni ya MBC ya Saudia ambayo imemvunjia heshima Shahidi Abu Mahdi al-Muhandis.
Habari ID: 3472771    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/16