iqna

IQNA

minara
TEHRAN (IQNA)- Uswisi imeitisha kura ya maoni kuhusu marufuku ya vazi la nikabu (niqabu) au burqa linalotumiwa na wanawake Waislamu kufunika uso kikamilifu.
Habari ID: 3473571    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/19