iqna

IQNA

Dey
TEHRAN (IQNA)- Tarehe 9 Dei mwaka 1388 Hijria Shamsia iliyosadifiana na tarehe 30 Disemba 2009, mamilioni ya wananchi wa Tehran na miji mingine hapa nchini walifanya maandamano makubwa kulalamikia machafuko ya barabarani na himaya ya madola ya Magharibi kwa machafuko hayo.
Habari ID: 3473504    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/29