Katika klipu hii hapa chini wazazi wametakiwa kuwa waangalisi sana kwani baadhi ya katuni na filamu za Kimagharibi ambazo zinadaiwa ni za watoto zinaeneza maadili mabovu na ufuska.
Katuni na filamu za Kimagharibi kidhahiri zinaonekana ni za watoto lakini huwapa mafunzo yanayokiuka maadili ya Uislamu na kwa msingi huo hawapaswi kuzitizama.