IQNA

Qarii Mashuhuri, Sheikh Manshawi akisoma aya za Suuratut Tur

Ifuatayo ni klipu ya sauti ya Mohammad Sadiq Manshawi, msomaji mashuhuri wa Qur'ani Tukufu kutoka Misri akisema aya za 25 hadi 27 za Suuratut Tur.

"Wataelekeana wakiulizana.  Waseme: Tulikuwa zamani pamoja na ahali zetu tukiogopa; Basi Mwenyezi Mungu akatufanyia hisani na akatulinda na adhabu ya upepo wa Moto."

 

Kishikizo: Sheikh Manshawi