IQNA

Matembezi ya Siku ya Waislamu yafanyika New York

TEHRAN (IQNA)- Maelfu ya watu wameshiriki katika matembezi ya Siku ya Waislamu katika eneo la Manhattana mjini New York nchini Marekani.

Kiongozi wa Harakati ya Ikhwanul Muslimin Misri afungwa maisha jela

TEHRAN (IQNA)-Kiongozi wa kundi la Ikhwanul Muslimin la Misri na makumi ya wananchama wa kundi hilo wamehukumiwa kifungo cha maisha jela .
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu

Jinai ya Ahvaz ni mwendelezo wa njama za tawala vibaraka wa Marekani

TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullha Sayyed Ali Khamenei ametuma salamu za rambirambi kwa familia za mashahidi wa tukio...

Magaidi wavamiza gwaride katika mji wa Ahvaz kusini mwa Iran

TEHRAN (IQNA)- Magaidi wakufurishaji wanaopata himaya Uingereza na Saudi Arabia wameshambulia gwaride ya kijeshi katika mji wa Ahvaz kusini mwa Iran na...
Habari Maalumu
Jeshi la Israel laua Wapalestina wawili Ukanda wa Ghaza

Jeshi la Israel laua Wapalestina wawili Ukanda wa Ghaza

TEHRAN (IQNA)- Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limefyatua kombora kuelekea katika uzio wa Ghaza na kuua shahidi Wapalestina wawili na kujeruhi wengine...
18 Sep 2018, 15:28
Mgogoro kuhusu Kanisa Katoliki kunyakua Msikiti wa Kihistoria wa Cordoba Uhispania

Mgogoro kuhusu Kanisa Katoliki kunyakua Msikiti wa Kihistoria wa Cordoba Uhispania

TEHRAN (IQNA)- Mgogoro kuhusu umiliki wa Msikiti Mkuu wa Crodoba nchini Uhispania unaendelea kutokota baada ya kamati iliyoteuliwa na Baraza la Mji wa...
17 Sep 2018, 16:18
Wayemen walazimika kula majani ya msituni kutokana na njaa
Vita vya Saudia dhidi ya Yemen

Wayemen walazimika kula majani ya msituni kutokana na njaa

TEHRAN (IQNA)- Idadi kubwa ya Wayemen sasa wanalazimika kula majani ya msituni kutokana na kusakamwa na baa la njaa ambalo limesababishwa na hujuma ya...
16 Sep 2018, 21:42
Qarii na mwanazuoni maarufu wa Qur'ani Libya, Sheikh Qashqash aaga dunia
Inna Lillah wa Inna Ilayhi Rajioun

Qarii na mwanazuoni maarufu wa Qur'ani Libya, Sheikh Qashqash aaga dunia

TEHRAN (IQNA)-Qarii na mwanazuoni mtajika wa Qur'ani Tukufu nchini Libya na katika ulimwengu wa Kiislamu Sheikh Mustafa Qashqash amefariki dunia na kuzikwa...
15 Sep 2018, 19:11
Wanajeshi wa Saudia wahujumu Mashia katika maombolezo ya Muharram

Wanajeshi wa Saudia wahujumu Mashia katika maombolezo ya Muharram

TEHRAN (IQNA)- Wanajeshi wa utawala Saudi Arabia wamewashambulia Waislamu wa madhehebu ya Shia ambao walikuwa wakishiriki katika maombolezo ya Mwezi wa...
14 Sep 2018, 12:04
Saudia yasambaza nakala milioni 18 za Qur'ani kwa lugha mbali mbali
Katika kipindi cha mwaka moja

Saudia yasambaza nakala milioni 18 za Qur'ani kwa lugha mbali mbali

TEHRAN (IQNA)- Kituo cha Uchapishaji Qur'ani cha 'Malik Fahad' nchini Saudi Arabia kimetangza kuwa kimesambaza nakala milioni 18 za Qur'ani Tukufu mwaka...
13 Sep 2018, 12:34
Mtawala wa Myanmar anayewaangamiza Waislamu akwepa kikao cha UN

Mtawala wa Myanmar anayewaangamiza Waislamu akwepa kikao cha UN

TEHRAN (IQNA)- Kiongozi wa Myanmar, Aung San Suu Kyi, amekwepa kuhudhuria kikao cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa mjini New York wiki ijayo huku akiendelea...
12 Sep 2018, 18:51
Wanawake Waislamu wanaovaa Hijabu wanashambuliwa Ubelgiji

Wanawake Waislamu wanaovaa Hijabu wanashambuliwa Ubelgiji

TEHRAN (IQNA)- Takwimu zinaonesha kuwa, asilimia 76 ya vitendo vya chuki dhidi ya Waislamu nchini Ubelgiji mwaka 2017 vilihusu kushambuliwa wanawke Waislamu...
10 Sep 2018, 10:37
Waislamu Mashia Saudia kushirikiana na vikosi vya usalama katika maadhimiso ya Ashura

Waislamu Mashia Saudia kushirikiana na vikosi vya usalama katika maadhimiso ya Ashura

TEHRAN (IQNA)- Sheikh Wajdi Mubarak mmoja katia ya wanazuoni wa Kishia nchini Saudi Arabia ametaka kuwepo ushirikiano kamili baina ya waumini na maafisa...
09 Sep 2018, 12:01
Msikiti uliojengwa miaka 1000 iliyopita wagunduliwa Imarati

Msikiti uliojengwa miaka 1000 iliyopita wagunduliwa Imarati

TEHRAN (IQNA) - Wanaakiolojia huko Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE au Imarati) wamegundua msikiti unaokadiriwa kuwa uliojengwa miaka 1,000 iliyopita katika...
08 Sep 2018, 18:12
Picha